1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Warsha katika kituo cha Demokrasia nchini Tanzania

28 Aprili 2008

Wadau wa masuala ya demokrasia, vyama vya siasa na asasi zisizo za kiserikali wamekutana leo jijini Dar es Salaam Tanzania.

https://p.dw.com/p/DqDd
Jiji la Dar es Salaam kuliko fanyika warsha wa masuala ya demokrasiaPicha: DW /Maya Dreyer

Mkutano huo ni wa kujadili majukumu ya vyombo vya habari, vyama vya siasa na asasi za kiraia katika kuendeleza demokrasia nchini.

Hawra Shamte alihudhuria warsha hiyo na hii hapa ripoti yake.