1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasanii wanastahili muda wa faragha?

Bruce Amani
16 Julai 2019

Je watu maarufu au ma-star wanastahili kuwa na muda wa faragha? Wakati inafahamika sehemu ya biashara yao ni pamoja na kuuza faragha yao! Ungana na Bruce Amani katika Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/3M8gx