1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watafuta mvuto kwa kuinua vyuma-Afghanistan

Saumu Mwasimba
25 Juni 2018

Vijana wa Kiafghanistan wageukia uinuaji vyuma kutafuta mvuto.Licha ya nchi yao kukabiliwa na mashambulizi ya kila mara vijana wametafuta njia ya kusahau matatizo kwa kuingia Gym kufanya mazoezi ya kutafuta mvuto kwa kuijenga misuli na kutanua vifua.Huu ndio mtindo uliopata umaarufu na hasa mjini Kabul

https://p.dw.com/p/30EgC