1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wa mitaani Bujumbura

4 Desemba 2015

Watoto wapatao 2,000 wanaishi mitaani Bujumbura. Wanapitia maisha magumu lakini wanapata pia fursa ya kucheza. Tazama video fupi inayoelezea maisha ya watoto hao kwenye mji mkuu wa Burundi.

https://p.dw.com/p/1HHab
Watoto yatima
Picha: DW/J. Kanubah

Watoto wa mitaani Bujumbura