1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto, wanawake na albino wanaathirika zaidi Tanzania

Hawa Bihoga20 Agosti 2019

Ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania inaonyesha kuwa bado kundi la watoto, wanawake na watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu albino wanaathirika zaidi, na imezitaka mamlaka husika kuchukua hatua zaidi kulinda haki za makundi hayo.

https://p.dw.com/p/3OCdc