1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu waliokamatwa kisiwani Pemba huenda wakakabiliwa na mashtaka ya uhaini

16 Mei 2008

Huenda watu kadhaa waliokamatwa na polisi jumapili iliopita Kisiwani Pemba na kusafirishwa hadi Unguja wakakabiliana na mashtaka ya uhaini .

https://p.dw.com/p/E0TU

Inasemekana kwamba watu hao ni kati ya wale waliosalimisha malalamiko ya maandishi kwa mwakilishi wa Umoja wa Mataifa mjini Dar es salaam kutaka kuweko mfumo wa serekali ya Shirikisho ya Zanzibar. Scholastica Mazula alizungumza na kamishina wa polisi wa Zanzibar, Khamis Mohammed Simba, na alikuwa na haya ya kusema.