1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wanaojali – Kipindi 05 – Mwanasiasa Mtoto

29 Machi 2011

Esther mwenye umri wa miaka 16 ni rais wa baraza la seneti la bunge la watoto nchini Nigeria. Sikiliza kipindi hiki na ujifunze vipi watoto ni viongozi wa leo – na pia kesho.

https://p.dw.com/p/QpU0