Watu wasiokuwa na uraia Burundi

Sikiliza sauti 09:46
Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Ni wazaliwa wa Burundi, lakini wana asili ya Omani. Kwa kuwa hawajatambuliwa kama raia nchini Burundi, wamekuwa wakiomba uraia wa Omani. Je juhudi zao zimefikia wapi. Amida Issa anasimulia zaidi kwenye Makala ya Mbiu ya Mnyonge

Zaidi katika Media Center

dakika (0)
Asili ya Afrika | 08.01.2018

Dinknesh ni nani?

dakika (0)
Asili ya Afrika | 08.01.2018

Je unamfahamu Kwame Nkrumah?