1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wenye ulemavu – Kipindi 01 – Inaweza kutokea kwa yeyote

21 Machi 2011

Katika mfululizo huu mpya tunasafiri na Oluanda na marafiki zake kwenda Maganye ambako mashindano ya magari ya kila mwaka yanafanyika. Jifunze jinsi mashindano haya yanavyoyabadili kabisa maisha ya Oluanda!

https://p.dw.com/p/QgNK