1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watumia mbwa kukabiliana na upweke.

Lilian Mtono
17 Aprili 2018

Nchini Uganda wataalamu wameamua kutumia mbwa kuwasaidia watu walioathirika na msongo wa mawazo. Urafiki kati ya mbwa na mwathirika huwawezesha kukabiliana na maradhi hayo na kuchukuliwa kama tiba mbadala. Je, kama unasumbuliwa na tatizo hili ama unyanyapaa, unaweza kumfanya mbwa kuwa rafiki yako wa karibu? Papo kwa Papo: 17.04.2018.

https://p.dw.com/p/2wD5V