1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazee wa Mau Mau kuishtaki serikali ya Uingereza

5 Oktoba 2012

Mahakama nchini Uingereza imepitisha uamuzi kwamba wazee watatu wa Kenya walioteswa na utawala wa Uingereza katika miaka ya 1950 wanaweza kuendeleza madai yao dhidi ya serikali ya Uingereza.

https://p.dw.com/p/16LEf
Wazee waliopigana wakati wa utawala wa kikoloni wa Uingereza
Wazee waliopigana wakati wa utawala wa kikoloni wa UingerezaPicha: AP

Hukumu hii sasa inawasafishia njia wapiganiaji hao uhuru wa zamani wa Kenya, kusukuma mbele madai yao mengine dhidi ya kutendewa ukatili na utawala wa kikoloni.
Kutoka Nairobi tulijiunga moja kwa moja na msemaji wa umoja wa wazee hao Githu wa Kuhengeri:

(Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef