1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif avuliwa madaraka

Sylvia Mwehozi
28 Julai 2017

Yanayojiri ulimwenguni: Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif ajiuzulu kwa madai ya rushwa. Hali bado ni tete katika eneo takatifu linalozozaniwa mjini Jerusalem. Na Senegal inachagua bunge siku ya Jumapili. Papo kwa Papo 28.07.2017.

https://p.dw.com/p/2hKJH