1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

William Tubman: Mwanamageuzi wa Liberia

Yusra Buwayhid
11 Februari 2020

Liberia, taifa la watumwa walioachiliwa huru, iljengwa kwa kuwakandamiza watu wake wa asili. William Tubman alipochaguliwa kama rais aliwaunganisha watu wake, na kujaribu kuitayarisha nchi hiyo ili ije iwe na mustakbali mzuri – jambo ambalo hakufanikiwa.

https://p.dw.com/p/3XazB