1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wolfsburg kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
23 Agosti 2021

Wolfsburg yaipiku Hertha Berlin na kuparamia kileleni mwa Bundesliga, mabingwa Bayern wahemeshwa na Cologne huku Borussia Dortmund ikiangukia pua ugenini Freiburg. Romelu Lukaku awapa salamu Arsenal katika mechi yake ya kwanza baada ya kurejea ligi ya Premier. Gareth Bale amaliza ukame wa kufunga mabao katika La Liga. Na katika mchezo wa tenis Mjerumani Alexander Zverev ashinda taji la Cincinnati.

https://p.dw.com/p/3zO3u