1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Ajali ya Meli MV Spice Islanders

15 Septemba 2011

Wilaya ya Wete katika mkoa wa Kaskazini Pemba, imeelezwa kuathirika vibaya na ajali ya meli ya MV Spice Islanders, iliyopata ajali mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya takriban watu 200.

https://p.dw.com/p/12ZZF
Mtoto aliyenusurika katika ajali ya meli ya MV Spice Islanders.Picha: picture-alliance/dpa

Meli hiyo inaelezwa kuwa ilikuwa imebeba kiasi cha abiria 3,000, wakati uwezo wake ni kubeba abiria 600 tu.

Halima Nyanza alizungumza na mkuu wa wilaya ya Wete mkoa wa kaskazini Pemba Omar Khamis Othman, kutaka kuthibitisha juu ya idadi hiyo ya vifo.

Mwandishi: Halima Nyanza

Mhariri: Josephat Charo