1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar kupata umeme wa uhakika

10 Aprili 2013

Wakaazi wa Zanzibar wamo kwenye furaha kuondokana na tatizo la umeme.

https://p.dw.com/p/18CwB
Tatizo la umeme Zanzibar linatarajiwa kumalizika
Tatizo la umeme Zanzibar linatarajiwa kumalizikaPicha: Stefan Pommerenke

Baada ya zaidi ya miaka mitatu ya kero ya ukosefu wa nishati ya umeme katika kisiwa cha Unguja - makao makuu ya serikali ya Zanzibar na harakati nyingi za kiuchumi, wakaazi wa kisiwa hicho leo wamo katika furaha ya kuondokana na tatizo la umeme. Salma Said kutoka Zanzibar ana ripoti kamili. Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi