1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Lowassa na Seif Sharif wazungumzia mkwamo

Elizabeth Shoo12 Februari 2016

Waliokuwa wagombea wa urais wa vyama vya upinzani Tanzania, Edward Lowassa na Seif Sharif Hamad, wamefanya mkutano na wameonya juu ya kuendelea kuzorota kwa hali ya kisiasa kwa visiwa vya Zanzibar.

https://p.dw.com/p/1HuZu
Maalim Seif Sharif Hamad wa CUF Zanzibar
Picha: DW/M.Khelef

[No title]