1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Rais Kabila Mashariki mwa Kongo

Samia Othman21 Novemba 2013

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo anaendelea na ziara yake Mashariki mwa Kongo, ikiwa ni mara ya kwanza kuzuru eneo hilo tangu kuzuka kwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na makundi ya waasi.

https://p.dw.com/p/1ALmu
Rais Joseph Kabila wa DRC
Rais Joseph Kabila wa DRCPicha: AP Photo

Grace Kabogo amezungumza na Mustapha Mwiti, Kiongozi wa mashirika ya kiraia Mashariki mwa Kongo, na kwanza alitaka kujua wakaazi wa eneo hilo wanatarajia nini kutokana na ziara hiyo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Yusuf Saumu