1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zimbabwe yapata rais Mpya

Saumu Mwasimba
24 Novemba 2017

Emmerson Mnangagwa awafungulia ukurasa mpya Wazimbabwe baada ya kuapishwa kuingia madarakani kurithi nafasi iliyoachwa na Mugabe aliyejiuzulu kwa mbinde baada ya kupata shinikizo kutoka pande zote,Na papa Francis aziombea amani Sudan Kusini na DRC kupitia sala maalum huko Vatican

https://p.dw.com/p/2oD5e