1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziwa Ol Bolossat hatarini kutoweka

16 Februari 2018

Wataalmu wa kulinda mazingira wanaonya kwamba kiasi cha maji katika Ziwa Ol Bolossat lililopo nchini Kenya kinapungua maji kwa kasi. Hii ni kutokana na shughuli za kibinadamu kama vile ujenzi wa nyumba.

https://p.dw.com/p/2sow0
Landnutzung am Lake Ol Bolossat, Kenia World Wetlands Day
Picha: DW/B. Maranga

MMT_FE: Umwelt 16/19/20.02.2018 Threat facing Lake Olbolosat - MP3-Stereo

Ziwa Ol Bolossat Kenya
Picha: DW/B. Maranga
Ziwa Ol Bolossat Kenya
Picha: DW/B. Maranga
Ziwa Ol Bolossat Kenya
Picha: DW/B. Maranga