1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zoezi la kupiga kura Sudan laingia siku ya pili hii leo

Josephat Nyiro Charo12 Aprili 2010

Sudan leo imetakiwa kurefusha muda wa kupiga kura baada ya maelfu ya kura kuharibika kutokana na kupiga mahali ambapo si sahihi pamoja na vituo vya kupigia kura kuchelewa kufunguliwa katika maeneo mengi

https://p.dw.com/p/Muft
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, akijiandaa kupiga kura mjini Juba Jumapili April 11, mwaka huuPicha: AP

Uchaguzi nchini Sudan umefanyika kwa siku ya pili hii leo, huku tume ya uchaguzi ikitangaza kurefusha zoezi la kupiga kura kwa siku mbili ili kuzuia kuwafungia raia kupiga kura kutokana na matatizo ya kiufundi. Josephat Charo alizungumza na bwana Ibrahim Himid, mkaazi wa mjini Khartoum, na kwanza kumuuliza hali ilivyo mjini humo.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji