Karibu kwa Jarida la habari la DW.COM Tafadhali jisajili hapa.
Maafisa wakuu wa nchi za magharibi na Kiarabu kukutana Saudi Arabia kujadili mzozo wa Gaza, Zelensky atoa ombi jipya la msaada wa mifumo ya ulinzi wa anga na Iran yasema wafanyakazi wa meli inayohusishwa na Israel kuaachiwa huru
Maafisa wakuu wa nchi za Magharibi na Kiarabu wanatarajiwa kukutana wiki ijayo mjini Riyadh, Saudi Arabia kujadili vita vilivyodumu kwa miezi kadhaa katika Ukanda wa Gaza
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jipya la msaada wa mifumo ya ulinzi wa anga baada ya mashambulizi ya usiku kucha ya Urusi dhidi ya miundombinu yake ya nishati