Deutsche Welle Wamisri wasubiri matokeo ya uchaguzi wa bunge huku wapinzani wa serikali ya kijeshi wakiitisha maandamano makubwa,Tahrir.
Mahamat Deby Itno atangazwa mshindi wa uchaguzi Chad//Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius aihakikishia Marekani dhamira ya Ujerumani kwa NATO//Na Zelenskiy amuachisha kazi mkuu wake wa ulinzi kwa madai ya kuvujisha taarifa kwa Urusi.
Urusi yaishambulia miundo mbinu ya nishati ya Ukraine na kuiongezea shinikizo//Kim Jong Un amuunga mkono Putin katika ujumbe wa kumpongeza//Na Idadi ya waliofariki katika mafuriko Brazil yapindukia 100.