Deutsche Welle: Candade Gingrich-Jones, ambaye ni dada wa mgombea urais wa Marekani kwa chama cha Republican, Newt Gingrich, asema atampigia kura Barack Obama.
Rais wa Marekani, Joe Biden na rais wa zamani Donald Trump wamefanya kampeni zao za mwisho mwisho siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi wa bunge wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Makamu wa Marekani Rais Kamala Harris ameuleza mkutano wa COP28 wa Dubai kwamba Marekani itachangia dola bilioni 3 kwa mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi duniani ikiwa ni ahadi ya kwanza ya nchi hiyo tangu 2014.
Wagombea wawili wanawania uteuzi wa chama cha Republican kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Novemba mwaka huu, huku Rais Joe Biden akitizamwa kuwa mgombea wa moja kwa moja wa chama cha Democratic.