Watu zaidi ya 100 wamefariki dunia katika mji wa Mograhat mashariki mwa India baada ya kunywa pombe haramu. Wengine kadhaa wanatibiwa hospitalini.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laidhinisha ombi la uanachama wa Palestina//Marekani yaipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi ili kuipa nguvu katika mapambano yake na Urusi//Na Watu 50 wafariki kutokana na mafuriko Afghanistan.
Mahamat Deby Itno atangazwa mshindi wa uchaguzi Chad//Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius aihakikishia Marekani dhamira ya Ujerumani kwa NATO//Na Zelenskiy amuachisha kazi mkuu wake wa ulinzi kwa madai ya kuvujisha taarifa kwa Urusi.
Urusi yaishambulia miundo mbinu ya nishati ya Ukraine na kuiongezea shinikizo//Kim Jong Un amuunga mkono Putin katika ujumbe wa kumpongeza//Na Idadi ya waliofariki katika mafuriko Brazil yapindukia 100.