Deutsche Welle: Katika ligi ya Ujerumani, Bundesliga, Borussia Moenchengladbach imeibwaga Mainz kwa bao 1-0 na kujiweka katika nafasi tatu za mwanzo.
Bayer Leverkusen wameshinda taji la ligi kuu ya kandanda Ujerumani - Bundesliga kwa mara ya kwanza katika historia yao ya miaka 120.
Bayer Leverkusen inaendelea kuandikisha rekodi ya ushindi wa tisa mfululizo ya kutopoteza katika michezo 41 ya mashindano yote msimu huu na wanahitaji ushindi mmoja tu kutoka kwa mechi zao zilizosalia ili kushinda taji la Bundesliga kwa mara ya kwanza.
Bayern Munich itawakosa wachezaji wake kadhaa walioumia katika mechi ya ugenini dhidi ya Heidenheim Jumamosi (06.04.2024). Bayern inahitaji kurudi katika fomu yake na kupata matokeo baada ya kupigwa 2-0 na Dortmund.