Deutsche Welle: Mtu anayetajwa kuwa kiongozi wa Al-Qaida katika eneo la Afrika ya Mashariki, Abdul Rogo, anatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Kenya hivi leo.
Helikopta ya jeshi la Kenya imeanguka karibu na mpaka wa Somalia na kusababisha vifo vya watu wapatao wanane.
Marekani imetoa ahadi ya zawadi ya dola milioni 5 kwa taarifa kuhusu kiongozi wa kundi la Al Shabaab nchini Somalia, Abukar Ali Adan.