m-dw.de - Anwani yetu ni rahisi kuikumbuka na kuitumia. Soma taarifa za DW za kimataifa na uchambuzi zilizotayarishwa kwa ajili yako ukiwa kwenye mwendo.
Ujerumani imelaani ongezeko la ghasia dhidi ya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA, huko Jerusalem Mashariki.
Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani cha Labour nchini Uingereza Keir Starmer amesema hii leo wataufutilia mbali mpango wa serikali ya Conservative wa kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda ikiwa wataingia madarakani.
Hali ya kibinaadamu kwenye Ukanda wa Gaza inazidi kuwa mbaya katika wakati Israel imeapa kuendeleza mashambulizi yake+++Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani cha Labour nchini Uingereza Keir Starmer amesema wataufutilia mbali mpango wa serikali ya Conservative wa kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda