1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ni tete Burundi baada ya mashambulio la maguruneti mwishoni mwa juma

Josephat Nyiro Charo14 Juni 2010

Mgombea wa chama tawala CNDD-FDD hana mpinzani katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika nchini Burundi baada ye mwaka huu

https://p.dw.com/p/NqXa
Mgombea wa chama tawala, CNDD-FDD, rais wa Burundi, Pierre NkurunzizaPicha: AP

Nchini Burundi bado kuna halai ya wasi wasi kufuatia mashambulio ya mwishoni mwa wiki ambapo mtu mmoja aliuawa na wengine saba kujeruhiwa.

Mashambulio hayo ya guruneti yalitokea katika maeneo mbalimbali katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura, na ni katika wakati ambapo uchaguzi wa rais ukikaribia.

Kutoka Bujumbura Hamida Issa ametutumia taarifa ifuatayo

Mwandishi:Hamida Issa

Mhariri:Liongo