1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hotuba ya Rais Ghaddafi katika Baraza la Umoja wa Mataifa

25 Septemba 2009

Miongoni mwa viongozi waliozungumza katika baraza kuu la umoja wa Mataifa ni kiongozi wa Libya Muamar Ghaddafi

https://p.dw.com/p/JoFz
Rais Barack Obama pamoja na Rais Muammar Ghaddafi katika Nembo ya Umoja wa MataifaPicha: picture alliance/dpa/DW_Montage

Ghaddafi alichukua muda wa zaidi ya saa moja katika hotuba yake hiyo iliozusha maoni na mitazamo tofauti.

Halima Nyanza alimuuuliza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania Profesa Issa Shivji na kwanza anaelezea jinsi alivyoiona hotuba hiyo ya Ghaddafi