1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la Umoja wa Mataifa kuwarahisishia waasi wa LRA wa Uganda kwenda Juba, Sudan

19 Julai 2007

Vikosi vya Umoja wa Mataifa vimetumwa katika wilya ya Dunga karibu na mbuga ya wanyama ya Garamba ili kuwawezesha waasi wa kundi la LRA kwenda Juba, Sudan, kuhudhuria mazungumzo baina ya waasi hao na serikali ya Uganda.

https://p.dw.com/p/CHAp
Waasi wa kundi la LRA
Waasi wa kundi la LRAPicha: AP Photo