1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KABUL: Rais wa Bangladesh atekwanyara Afghanistan

16 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBPG

Nchini Afghanistan,mfanyakazi raia wa Bangladesh, ametekwa nyara katika mkoa wa Logar kusini-magharibi ya Kabul.Mbangladeshi huyo ni mfanyakazi wa shirika la misaada la Bangladesh, ambalo tangu miaka mitano iliyopita husaidia nchini Afghanistan kujenga,shule,barabara na hospitali na vile vile hutoa mikopo midogo kwa wanawake.Hadi hivi sasa haijulikani nani aliehusika na utekaji nyara huo.