1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikao cha viongozi wa Umoja wa Afrika waendelea Kampala

Josephat Nyiro Charo26 Julai 2010

Miongoni mwa mada zinazojadiliwa ni afya ya akina mama wajazito

https://p.dw.com/p/OUiS
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mwenyeji wa mkutanoPicha: dpa

Kikao cha marais wa nchi za Umoja wa Afrika kinaendela mjini Kampala,, Uganda. Leo, marais wanatilia mkazo mada ya mkutano huo ambayo ni afya ya akina mama wajawazito na watoto wachanga kinyume na hapo awali ambapo mikutano iliyotangulia ya mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Umoja wa Afrika ilikiuka mada ya mkutano na kutilia maanani sana suala zito lililojitokeza la usalama.

Mwandishi wetu kutoka Kampala Leyla Ndinda ametutumia ripoti ifuatayo.

Mwandishi, Leyla Ndinda

Mpitiaji, Peter Moss

Mhariri, Josephat Charo