1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Umoja wa Afrika kukabiliana na wakimbizi unaofanyika nchini Uganda

19 Oktoba 2009

<p>Mkutano maalum wa kilele wa Umoja wa Afrika unaolenga kukabiliana na tatizo la wakimbizi na watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao ndani ya nchi zao, umeanza leo mjini Kampala Uganda.

https://p.dw.com/p/KAbH
Eneo ya makaazi ya wakimbizi nchini UgandaPicha: DW
Mkutano huo wa siku tano unatarajiwa kutafuta njia za kuzuia raia kulazimika kuhama maeneo wanayoishi na kwenda kuishi mahala pengine na pia kutakafari njia za kuwasaidia wakimbizi milioni 17 na watu walioyahama makazi yao barani Afrika.

Mwandishi wetu kutoka Kampala, Leylah Ndinda ametutumia taarifa ifuatayo:

Insert:

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Josephat Charo