1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaziri wa Uganda wajiuzulu

13 Oktoba 2011

Mawaziri watatu wamejiuzulu baada ya kuamrishwa na mahakama ya kupambana na ufisadi wafike mbele ya mahakama hii leo kujibu mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi.

https://p.dw.com/p/12rDQ
Rais Yoweri Museveni wa Uganda.Picha: AP

Mawaziri hao watatu ni waziri wa mambo ya nje Sam Kuteesa, kiongozi wa wabunge wa chama tawala bungeni John Nasasira, na naibu waziri wa Kazi Mwesigwa Rukutana. Waziri Kutesa na Nasasira ni marafiki wa karibu wa rais Museveni. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Josephat Charo