1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjadala wa Zanzibar ni nchi au si nchi

25 Julai 2008

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ imetoa kauli yake rasmi kufuatia tamko la Waziri Mkuu wa Tanzania Peter Mizengo Pinda kwamba Zanzibar si nchi.

https://p.dw.com/p/Ejfw
Bandari ya ZanzibarPicha: DW /Maya Dreyer

Suala hilo lilijitokeza bungeni mjini Dodoma mwezi Juni mwaka huu.Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ibara ya tisa inayoeleza mamlaka yote yaliyomo.

Mwandishi wetu kutoka Zanzibar Salma Said anaarifu zaidi.