1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Kilimo mjini Kigali,Rwanda

29 Machi 2007

Mjini Kigali leo umeanza mkutano wa siku tatu.

https://p.dw.com/p/CHlL

Mada kuu ya mkutano huo ni kubadilishana mawazo kuhusu teknolojia mpya ya kilimo cha kisasa. Takriban wajumbe 300 kutoka Jumuiya za kiuchumi barani Afrika, COMESA na NEPAD, wamehudhuria mkutano huo.

Kutoka Kigali, mwandishi wetu Christopher Karenzi anaripoti zaidi.