1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa mahakimu mjini Mombasa,Kenya

9 Agosti 2007

Licha ya marekebisho yaliofanywa katika idara ya mahakama wakati wa serikali ya muungano wa Narc huko Kenya ulipochukuwa uongozi mwaka 2003, idara ya mahakama bado inakabiliwa na changa moto kubwa ya mrundiko wa kesi ambazo hazijasikilizwa na kuamuliwa kwa muda mrefu.

https://p.dw.com/p/CH9r

Kulingana na Jaji Mkuu,Evert Gecheru, kuna jumla ya kesi milioni moja katika mahakama za kenya ambazo hazijasikilizwa na kuamuliwa.

Mwandishi wetu Eric Ponda ametutumia ripoti akihudhuria mkutano wa mahakimu wa huko Kenya mjini Mombasa.