1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa Shirika la FAO ziarani DRC

28 Aprili 2009

Mkurugenzi wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO, bwana Jacques Diouf, ameitolea wito nchi ya DRC ibadili mfumo wake wa kilimo ili kuweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa ajili ya raia wake.

https://p.dw.com/p/Hg19
Mkurugenzi wa Shirika la FAO Bwana Jacques DioufPicha: picture-alliance/dpa

Kiongozi huyo wa shirika la FAO ameyasema hayo akiwa ziarani mjini Kinshasa.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaarifu zaidi kutoka Kinshasa.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohamed Abdulrahman