1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimu wa Karneval wafunguliwa leo

11 Novemba 2011

Leo hapa Ujerumani, hususan katika mkoa huu wa North Rhein Westephalia, kunaanza sherehe za Karneval ambazo tuseme ni kama kuikaribisha baridi.

https://p.dw.com/p/138wY
Watu wanaosherehekea Karneval mjini ColognePicha: Fotolia/Alfred Richter

Kilele cha sherehe hizo hufanyika katika mji wa Cologne ambako watu kutoka pande zote za Ujerumani humiminika kwa tukio hilo. Sikiliza mahojiano na wenzetu Sudi Mnete na Caro Robi waliolitembelea tukio hilo huko Cologne.