1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtizamo wa nchi za Kiarabu kuhusu uchaguzi wa Iran

23 Juni 2009

Picha za maandamano ya wairan wanaopinga matokeo ya uchaguzi wa rais nchini mwao zimeenea katika vyombo vya habari katika kila pembe ya dunia.

https://p.dw.com/p/IXjW
Maandamano ya Wafuasi wa Mir Hossein Mousavi, mjini TeheranPicha: AP

Tumetaka kujua hali ikoje katika nchi jirani za kiarabu katika ghuba la uajemi.

Oummilkheir alizungumza na mkuu wa kitengo cha habari cha umoja wa mataifa, Ahmed Rajab huko Dubai na kwanza alielezea jinsi nchi za kiarabu zinavyoyaangalia matukio nchini Iran.



Mahojiano: Oummilkheir Hamidou/Ahmed Rajab

Mhariri: Mohamed Abdulrahman