1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtoto wa Kikongo awa mkubwa kabla ya umri

24 Juni 2011

Watoto wengi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanalazimika kufanya kazi za aina mbalimbali, nyengine za hatari kwa maisha yao, ili kujipatia fedha za kujikimu na kuzisaidia familia zao.

https://p.dw.com/p/11ijy
Msako wa madini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Msako wa madini Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPicha: Simone Schlindwein

Jambo hili linawafanya watoto hao sio tu kuwa wakubwa kabla ya umri wao, bali pia kukosa kusoma na kujijengea mustakabali wao. John Kanyunyu ametembelea migodini, ambako watoto hao wanahangaika kutafuita riziki.

Mtayarishaji/Msimulizi: John Kanyunyu
Mhariri: Othman Miraji