1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jonesia Rukyaa kusimamia Kombe la Dunia kwa Wanawake 2019

Yusra Buwayhid
13 Februari 2018

Kutana na Jonesia Rukyaa, mwamuzi wa mpira wa miguu wa kike nchini #Tanzania mwenye beji ya Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA World Cup na ambaye amechaguliwa kuchezesha mechi za fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa Wanawake zitakazofanyika nchini Ufaransa, Juni 7 - Julai 7.

https://p.dw.com/p/2sb3g