1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS:Ufalme wa jadi wavumbuliwa

28 Machi 2007
https://p.dw.com/p/CCEs

Wataalaam wa elimu ya kale nchini Ufaransa wamevumbua mabaki ya miji mitatu ya kale ambayo huenda ilikuwa ufalme wa zamani nchini Ethiopia.Ufalme wa Shoa uliokuwako katika karne za 10 na 16 uliunganisha bandari za Kikiristo na kiislamu kwenye Bahari ya Sham.

Taasisi ya kitaifa ya utafiti inaeleza kuwa wataalam hao wa elium ya kale walivumbua mabaki ya miji ya Asbari,Masal na Nora kwenye eneo la juu la Bonde la Ufa.