1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanadiplomasia wa Libya waachiwa

6 Januari 2008
https://p.dw.com/p/Ckvv

Wanamgambo wa kisomali waliokuwa wamejihami na bunduki wamewaachia huru wanadiplomasia wawili wa Libya waliowateka nyara katika soko la Bakara mjini Mogadishu nchini Somalia.

Takriban raia watatu wa kigeni wametekwa nyara nchini Somalia katika majuma ya hivi karibuni, lakini wote waliachiwa huru baada ya kuzuiliwa kwa muda mfupi.