1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa Ulinzi wa Uganda ashinikizwa kujiuzulu

5 Septemba 2007

Waziri wa ulinzi nchini Uganda anashinikizwa na wabunge ajiuzulu kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya wanajeshi wa Uganda.

https://p.dw.com/p/CH8V

Mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Uganda amezungumza na baadhi ya wabunge na kututumia ripoti ifuatayo.