1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wenye ulemavu wa kuona wana hali ngumu Kenya

14 Septemba 2011

Watu wenye ulemavu wa kutokuona wanakabiliwa na mazingira magumu nchini Kenya, ambako mara kadhaa wanajikuta wakilazimika kuishi maisha ya kidhalilifu ya kuwa ombaomba.

https://p.dw.com/p/Rlb8
Mtu mwenye ulemavu wa kuona
Mtu mwenye ulemavu wa kuonaPicha: picture-alliance / dpa

Eric Ponda anaangalia jaala na majaaliwa ya maisha ya mtu mwenye ulemavu wa kuona nchini Kenya, ambako mara nyingi hujikuta akiishi kama raia wa daraja la chini kabisa.

Mtayarishaji: Eric Ponda
Mhariri: Othman Miraji