1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza la Idd Zanzibar,Tanzania

1 Oktoba 2008

Leo ni sikukuu ya Idd katika mataifa mengi ya Afrika mashariki, ikiwemo Tanzania na Kenya.

https://p.dw.com/p/FSEh
Waislamu duniani washerehekea sikukuu ya Idd el Fitr.Picha: AP

Uganda, Burundi, Ethiopia pamoja na mataifa mengine jirani yamesherehekea sikukuu hii ya Idd El Fitr jana lakini leo pia sherehe hizo zinaendelea.

Huko Zanzibar Rais Amani Karume amehudhuria baraza la Idd asubuhi ya leo na kuzungumza na wananchi.
Mwandishi wetu Salma Said alikuwapo katika shughuli hiyo ya baraza la Idd mjini Zanzibar na Sekione Kitojo alizungumza nae hivi punde kuhusu yale rais Karume aliyosisitiza katika hotuba yake ya baraza la Idd.