1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chuo Kikuu Dar es Salaam chaandaa kongamano la kumkumbuka Hayati Mwalimu Nyerere

14 Oktoba 2011

Nchini Tanzania, imetimia miaka 12 tangu afariki Baba wa taifa hilo, Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Raia wengi wa kawaida wanamkumbuka kiongozi huyo kwa mengi muhimu kisiasa hasa imani yake ya usawa katika jamii.

https://p.dw.com/p/12rta
Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu NyererePicha: DPA

Ili kuipa uzito kumbukumbu hii, kongamano maalum linafanyika katika chuo kikuu cha Dar es salaam ili kuijadili hali ya kisiasa nchini humo. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu George Njogopa aliyehudhuria kongamano hilo.

Mwandishi: Njogopa, George( HON)

Mhariri: Yusuf Saumu