1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 28 wauwawa katika mripuko wa soko la vitabu

Mohamed Dahman5 Machi 2007

Bomu lililotegwa kwenye gari limeripuka kwenye soko la kale kabisa la vitabu leo hii na kuuwa watu 26 pamoja na kujeruhi wengine kadhaa katika shambulio jipya dhidi ya mpango wa Marekani na Iraq wa kukomesha umwagaji damu katika mji mkuu wa Baghdad.

https://p.dw.com/p/CHIv
Miripuko ya mabomu yaendelea kuutingisha mji mkuu wa Baghdad licha ya kuimarishwa kwa usalama mjini humo kama inavyoonekana pichani.
Miripuko ya mabomu yaendelea kuutingisha mji mkuu wa Baghdad licha ya kuimarishwa kwa usalama mjini humo kama inavyoonekana pichani.Picha: AP



Benutzername: Passwort: